Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Maulamaa na Wanazuoni 100 kutoka ulimwengu wa Kiislamu wametoa tamko rasmi wakitoa hukumu ya Muharibu (Adui wa Mwenyezi Mungu na Ubinadamu) dhidi ya Donald Trump (ambaye anatambuliwa na kuelezwa kama "mchezaji kamari") na Benjamin Netanyahu (anayetambulika "gaidi na mhalifu wa kivita").
Tamko hilo limekuja kufuatia uhalifu wao dhidi ya Waislamu na Ubinadamu, likitaja ukiukwaji mkubwa wa Haki za Binadamu na kuendeleza vita visivyo halali dhidi ya Mataifa ya Kiislamu (Palestina, Yemen, Lebanon, Iraq, Iran n.k).
Your Comment